MAHUSIANO HUVUNJA MOYO SOMETIMES SIKILIZA MY LATEST PODCAST

TRUTHFUL Relationships zinakatisha sana raha sometimes, too many lies ,najua sometimes unapitia well kila mtu anapitia, hayana ufundi sana sababu sisi ni binadamu, Mungu ndi anajua zaidi ni vile unapokuwa na umri unaongezeka unajifunza ku deal na vitu kwa njia ya akili zaidi, sometimes a mood can take a toll, i was simply watching bling empire nikagundua yan sometimes inabidi uishi maisha kwa njia ya kuamua wewe mwenyewe bila shirikisha watu hasa katika mahusiano yako ili wasikuone mjinga au hawaelewi , check netflix new series bling empire utaelewa zaidi yes, it means fanya maamuzi hata kwa kuishi na disapointments za mahusiano yako ili mradi huyo unaempenda basi abakie unampenda ili maisha yaende , ata kwa kuumia moyo sababu hamna jinsi by the look , watu hufanana sana tabia hasa wanaume wana mambo ya ajabu sana ukifatilia sana unaeza Pasuka kichwa, sometimes ukitaka ushauri kwa huyo unaongea nae si ajabu nae ana mabalaa yake so unajua tena ushauri utapata ni ushauri based na situation yake so tafakari , maumivu yake ni maumivu ya hisia, disapointments zake pia ni hisia , lazima utakuwa huna tabasamu au hata ukifake unamia moyoni na hizi vitu zina cut off na kupunguza upendo sana kiukweli, saa zingine tunawapa mioyo yetu watu ambao kazi yao ni kutafuta uongo ili siku ziende,hawathamini au wanachukulia poa au wamezoea, nilichokiona ni hakuna aliekamilika katika hii dunia, MSAADA WA HISIA NI NINI? Ni kutafuta afueni ya moyo baada ya uongo mwingi , lakini siku zikienda utajua ukweli na utaumia sana zaidi, sidhani kama ni sahihi kudanganya , nahisi si sahihi na haina tija na hamna msaada utapata wa kihisia zaidi ya wewe pia kuishi maisha ya kutojiamini au kuwa na imani sababu all you do is lie kwenye ukweli , if you really love someone why lie on them or disapoint them? like what do you get out of that? so hapa nimekusogezea PODCAST YANGU LEO Itayokufanya uishi kwa imani na amani ya kutotegemea anything in return hasa lijapo suala la mahusiano bonyeza hapa chini

Maoni

Machapisho Maarufu