Sickness ..would never wish this on anyone
Ginger , hot water , lemon is everything, lemme tel you this , Nimeumwa mafua makali sana week Ya 2 sasa siku Ya 12. mateso nilioyopata sitaki Muombea mtu akutane nayo ata adui Yangu asije kutana nayo , ku sweat . kichwa, homa, kuchoka, kizunguzungu, vidonda kooni maumivu ya mwili Makamasi Kama Maji mafua haya sijawahi Umwa. Nimejifukiza nimekunywa Tangawizi vitamins vitunguu saumu Maji Yan nimekunywa maji balaa ya moto balaa ndio yanasaidia yan .... nimelia🤦♀️ nilikuwa napumua na pua na mdomo shidaaa nikahisi ntakufa wallahy siamini saa Hii ile hali ndio inaishiaaaa.....sauti ilikata kabisa ...home remedy can cure this i Promise....
nilinunua hadi leso hayo mafua kila saa nafukiza nabonyeza Pua na maji Ya moto na leso imenisaidia sana...kooni palikuwa na vidonda finaly vinaishia can eat now Yan leo nilipopata ladha ya msosi finaly nimekulaaaaaa jaman sahaniiiii 2 na ntakula tena yan nilimiss kula na kusikia ladha maana was jus eating bora iende God is amazing.
Namshukuru Mungu my family trying to take care of me.
shouts to My Husbae for all the money transfer ... nimepata tabu kupumua siku5 mfululizo usiku ulikuwa mrefuuuuu ..Jana Nimelala and leo mchana nimelala yan na apa nataka nilale tena nilimiss kulala jaman . leo nimeanza Pata Ladha Ya Chakula finaly after 10days off .... naona ndio sijui inasepa hio flue ... hii hali ikikupata Just malimao tangawiz vitunguu saumu mvuke wa maji ya moto Pain killers kula chakula usicheze maana kuna siku i went down kabisa ... nililiaaaa mbavu zilibana zikaja achia .... na jana pia na leo maana leo nusu nianguke baada ya kunywa maji ya moto tangawizi kitunguu saumu ikaachia Ndio ikaachia now i feel better niliogopa .... so now ikno what to do to fight this horrible flue ....
I was scared stil scared. would never wish this on anyone. Stil fighting this horrible disease sijui mafua gani haya Yan naombea Yasimpate mtu yoyote ni maumivu sana ...Namshukuru Mungu Vinaachia less pain... ukikutana na hali Hii Take care of yourself Mafua Ya hivi siombi yaje tena in my life i was scared 😢😢😢
This minute that i feel better ... Namshukuru Mungu i believe in few days yatakuwa yamekauka kabisaaaaa .... yan apa naandika Nimetoka kusali yan ndio yanaishia hayoooo ... God is amazing
so Ima share my journey, spent last 12days furious and fastruated, as i mentioned this morning on one of my post, I've often felt that 2021 January is a lot to me , is a blur kabisa...kama una mafua makali kama wanavyoyaita lately you know nime share tips on my insta itakusaidia sana maana nilihisi sitaamka ila here I am , Mungu ni Mkubwa, so you are not alone, lemons and limes ... mwokozi wa yote yan hii ni must from now on, jaza glass yako with ice, take a sip ... gives you energy iknow ila ni tiba sana ya magonjwa ... i hope you find this as your morning routine from now on,
