YAKUFANYA KUDUMISHA MAHUSIANO YAKO
Je unahisi ni nini unatakiwa fanya kudumisha mahusiano yako? Kazi hii nimeichagua na niko hapa kwa ajili yako, kupitia askdiva instagram usiku huu , maswali mengi yanakuja kwa whatsapp yangu nna show yangu ya digital platforms , kuna kijana anasema anaitwa VMETHOD yeye na mwenza wake wamekuwa na hali ya sintofahamu tembelea instagram yangu utaona akiomba ushauri, here are few tips to help him get through heartbreak ambayo anapitia , kiukweli kuna mtu pia alikuwa ananiambia mwenza wake hapigi simu mpaka yeye ndio aanze mtafuta, to me naona ni dharau na ni one sided, Mapenzi ni lazima yawe na pande mbili aisee, there is alot to improve in a relationship, alot to work on it but together as a team, kwenye mahusiano kuna kitu inaitwa commitment , ukiingia ni wajibu wako kuendeleza mutual respect and give love back na kama unaona huwezi basi toka kwenye mahusiano hayo kwa kuyavunja rasmi na sio kufanya michezo ya hisia kwa mwenzio ambae ame dive deep with love na wewe , kila mahusiano yana utofauti , na hakuna mahusiano yalio PERFECT , kuna sehemu tu lazima patatokea hali ya sintofahamu, so lets try to improve the something maana ni hali ya kuhitaji msaada , kuna kitu kinaitwa MAWASILIANO , COMMUNICATION, hii ni nguzo kubwa sana ila inaboa kila wakati wewe ukiwa ndio wa kwanza ku communicate , inachosha , keeping more and extra effort on a daily peke yako katika mahusiano inachosha sitaki kudanganya.
KUNA UBUSY YES ila lazima kuwe na hali ya kukutana na hali ya kuwa Pamoja kimwili kiroho kiakili pia ili bond idumu kati yenu, ni wajibu wa kila mmoja wenu, kwenda movies, kuangalia netflix pamoja ata kuamua kwenda kula na kupika pamoja, happiness, furaha yenu inastahili kuwa ndefu pamoja na si kujilazimisha, na ikitokea mtu akatupa furaha basi we need to express the appreciation, shukuru mwenza wako kwa kukujali na kuonyesha kukupenda, sio jeuri tu haijengi, lakini pia lazima mjue mahusiano yenu mnataka yapeleka wapi talk about the future together mpange, ukiona mtu haeleweki jiongeze we mtu mzima ushaelewa , remember small things and make decision, jitahidi sana pia kuacha yaliopita yapite hii naiongelea sasa hivi katika PODCAST YANGU if you always dwelling on the past hakutakuwa na maana sasa ya kuendeleza amani kati yenu , jua mipaka ya mwenzio na wewe ajue yako, sio kila mtu anataka ma message or simu kila siku hivyo kaeni ongeeni anataka nini na wewe unataka nini mpange jinsi ya kuendesha mahusiano yenu kama team moja, na in this jifunze kujua jinsi ya kuomba msamaha Pindi utapokosea , epuka mabishano yasio na tija, ukihisi unahitaji ugomvi omba muda wa kujitafakari , avoid toxic behavior , hakikisha unakuwa na majibu sahihi kabla ya kuomba ushauri kwa marafiki sio kila mtu atapenda mahusiano yenu wivu na chuki hutawala ndugu jamaa na marafiki kwa kimya sana hivyo basi tafuta utaemuamini kama mimi na nitakushauri vitu na watu wa insta tutakushauri sababu watanzania wengi wanapitia changamoto pia , tukiwa team work ni rahisi kusaidiana, hivyo si sahihi kila saa wewe ndio upige simu na kutuma sms, hapana mpe nafasi huyo mtu sasa yeye nae aone umuhimu wako usimtafute, jua thamani yako na akijirudi pia mueleze mipaka yako na nini unahitaji katika mahusiano ili ajue, ukishindwa break it off, labda Mungu kakuandalia furaha zaidi usijilazimishe kwake unaweza Pata mwengine mwema na bora zaidi , nilisema ntafanya sana kazi hii hivyo nitaelezea mengi sana pia in my PODCAST AND YOUTUBE CHANNEL


Maoni
Chapisha Maoni