Kushare Mwanaume ni Kitu ambacho Kinakinai
hellow Guys leo Ni siku tunaanza Mwezi Mpya Kabisa. Happy new Month.
kuna kitu nimeona ni share na nyie.
a woman faces life with a chest of full confidence, determination and Positivity, she doesnt blame circumstances, and doesnt justify failure with her luck of tricks,
swala la ku share mwanaume na mwanamke au wanawake wengine. Mimi Personaly huwa nikijua tu Mwanaume wangu ana share uume wake na wengine nahisi kinyaa na effectively immediately natoka katika hayo Mahusiano no matter how much i love a man, made decision from the stock of values and Principles you embrace,
Kinyaa ina a way that kama huyo mtu ana mikosi basi mna share mikosi, kama ana UTI basi mna share UTI, kama ana magonjwa ya zinaa na laana za familia yake basi wote mna share, Yani ni kinyaa kabisa hivyo huwa nahisi kutapika hio ndio sababu ilinifanya nikae sana bila mahusiano ya nyama kwa nyama.
Hivyo basi Kama unajielewa na unaelewa thamani yako bora ufanye maisha yako na yeye uyo mtu afanye maisha yake aendelee na hao walio tayari kuishi maisha hayo hata kama unampenda kiasi gani muache aende.
Hizi vitu baadhi Ya hapa Africa watu wanaendekeza sana hasa wanawake just know yourself know your worth Jua we ni nani jua thamani Yako. kwanza nilivyo na wivu cant really stand my man being with another woman siwezi kabisa so ntakuacha time heals ntapona ntaona kipi bora kwangu, i love being a free spirit and i cant be otherwise, I am a Diva who cnt live with routine of life, jamani miaka ikienda watu hubadilika pia a person changes his/her thoughts and personalityand dispense with many things , stay away from comparisons and immitations and have independent taste, mental maturity.
Nimekuekea link ya kuskiza Podcast zangu ambazo zimesheheni nusu saa zenye somo lililoshiba na tembelea instagram yangu Pia kuna story to share
thanks![]()
Hii Ni for every woman alive.
know Ya woman worth.

thanks
Hii Ni for every woman alive.
know Ya woman worth.

Maoni
Chapisha Maoni