CREATING A PLATFORM OF WRITERS IS AMAZING ....
Guys
here to share something or maybe a story to tell , In 2008 out of nowhere life took me to the Path, all about Media life Journey started for me , haikuwahi kuwa ndoto yangu but My Dad always ali Predict but hakuwahi hisi nahisi ni sababu ya sauti yangu or kutoongea sana while growing up i was mkimya sana .
Nimefanya kazi kwenye media house for 11 Years Media House moja tu mpaka nilipoamua kuacha kwa sababu zangu mwenyewe na zingine sitasema na kuamua kuwa na Media Yangu Mwenyewe. Nimefunzwa sana jinsi ya kufanya kazi na media niliofanyia kazi na washukuru sana sana sana kwa mazuri na yote ambayo yamenijenga , ukifatilia daily ndio maana Im very Positive nikiwaongelea.Personaly Im very creative by nature , Gemini blood eeh , Chose another Path Mwenyewe with no regrets.
Nakumbuka nilimfata Zamaradi nikamwambia nia yangu, zamaradi na mimi ni watu tumejuana muda sana tumesoma wote darassa moja at Cambridge Tanzania Academy then nikahamia Darphis international baadae , nikamwambia nataka kuwa na media yangu and naanza mwanzo kabisa, nimeona jinsi unafanya as a woman wanna do it my own ways and alinishauri sana na kunitakia kila la Kheir namshukuru sana,
si kazi rahisi kama mtu anavyojua unaamka asubuhi na kuhakikisha unaangalia how to Present a story kwa waja wema na wabaya wenye matusi na wenye mapambo kwako , mimi Im Honest Opinionated , so ninafanya kama nilivyokuwa zamani na run blog na ilikuwa ni blog namba moja kwa entertainment kuanzua 2009 so hii si kazi mpya kwangu ya kuandika or cheza na human interest najua things now that nimesomea.
Wakati naanza nilijua sana kila mtu au nani atasema vipi so nilijua nta deal na mazuri na mabaya yote kwa njia zangu sababu natengeneza empire ya miaka 5 ijayo, so mi ni mtu huwa sijali sana or should i say kabisa , i do what i do, Period.
hivyo i have my target. Build Your Digital Team Very few successful Platforms are started and sustained by a single person; you need a team that can help you create compelling, visually appealing content. As discussed above, that team can consist of full-time staff, volunteers, or freelancers. So created a Role and What They Do, Editor-in-Chief Manages the overall direction and creation, Managing Editor Manages the editorial planning and execution process Advertising Salesperson Generates advertisers and sponsored posts for the Page Marketing Director Directs activities aimed at marketing , including managing the Page, PR, social media, and more Circulation Director Grows the online Page and Online magazine’s subscriber base and maintains positive relationships with subscribers Art Director Responsible for overall design and issue-by-issue layout Writers Create writing content Photographers Responsible for all photography while shooting and Diva Appearance online with Professional Photos. Copy Editor Makes sure all content is well-written and on-target for the audience; usually manages writer assign ............ ............ ............
i work with young blood wa miaka 20 na kuendelea. wananifundisha vitu vingi sana sana sana hasa uandishi wa story ukaiangalia Diva Media Africa utaona umahiri wa story zao wanavyoandika na utajua sio mimi naandika bali my team, i only operate in My Page. Target was 202q inaisha tuna 100k while pushing youtube ambayo ni ngumu sana but want it iwe hivyo ilivyo mpaka ntapokamilisha baadhi Ya Mambo. as a woman si kazi rahisi maana requires time and money ila sababu ni full time job Im grateful Mungu anatuongoza kama sio Mungu sijui ingekuwaje nashukuru sana.
Tumeanza September 2020 na mpaka september 2021 tutaona tumefikia wapi ntawapa mrejesho.
Kiufupi naomba sana nawape nguvu kama una ndoto nenda na ndoto yako na usiogope kujaribu. no matter how hard it is try and no matter where you come from just know that Ndoto Yako iko Valid. usikate tamaa..
watu wanaongea sana let them ndio maana wana midomo ya kuongea mazuri na mabaya ila we focus focus kwenye Plan Yako Yan hio Hio Plan Pambana nayo usiwe na Plan B. Piga Plan A mpaka kieleweke ndio uwe na Plan B. Plan B is not something ambayo mimi binafsi i look thru.
Namshukuru Moderson who made Diva Media Logo. such a creative mind. ata aliponitumia siku doubt i was like i so love it.
shows a woman ... who came from being a host .. who decided to create a team and platform na kutoa ajira kwa wengine.
from being hired to hire a team of 10 People si kitu kidogo Im a Superwoman.
Proudly kabisa.
Nashukuru My Team sana sana sana kwa uvumilivu upendo na umoja wananionyesha asanteni sana sana sana . tutatoboa soon wanangu ahahaha .... Bless you unaefatilia na kunitia moyo na hata wale wavunja moyo nawaambia na bawdow mtaisomaaa....
Mwisho wa Siku Namshukuru Mkaka Mmoja called B. being there since day 1 ... Bless You My son.
all in all
...
lov you all

Maoni
Chapisha Maoni