Tanzania All Stars - Lala Salama (Magufuli) Official Video
Guys mnajua tuko katika msiba wa kuondokewa na Rais wetu , hivyo wasanii wameungana na wimbo wa maombolezo ukiongozwa na diamond platnumz na wasanii wote wakubwa, Rais Magufuli alifariki dunia kutokana na tatizo la moyo na kusababisha mshtuko kwa watanzania wengi wakati taarifa ikiwa inatangazwa na Mama Samia Suluhu Hassan ambae kwasasa ndio Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ndio Rais Pekee aliewahi tokea africa Mashariki ambae ni Mwanamke,



Maoni
Chapisha Maoni