KITUNGUU SAUMU HUTIBU INFECTION KWA NJIA YA MKOJO UTI

Jinsi Ya kutibu UTIs , Unajua ugonjwa huu huathiri sana wanawake na wanaume Pia, na njia Pekee inaweza kukufanya ukaupata ni njia ya kutumia vyoo vichafu vya kushare vya Public, kufanya Mapenzi , na kujishika hovyo na Mikono Michafu sehemu za siri, huanza kama muwasho na baadae ukikojoa unaumia, unaweza ukawa unajisikia kutapika, kichefuchefu, homa kali na ukikojoa unaumia kama unaungua na mkojo, na Njia hii huathiri zaidi wanawake , hivyo ushauri wa kunywa maji mengi kusafisha njia ya mkojo ni tiba tosha, au kwenda hospitali kupata matibabu haimalizi week matibabu yake inaweza chukua ata siku mbili kuua hao bakteria lakini Pia kunywa vitamic C na kutumia sana sana Vitunguu saumu kila unapoamka na unapoenda kulala inaweza kuwa tiba yan unavimenya unavikata na kunywa kama dawa, Kingine aina ya chakula unachokula Pia , hakikisha una diet nzuri yenye greens sana ila zingatia sana maji ya kunywa mengi sana kunywa kwa siku glass 8 itasaidia ndani ya week kutibu hilo tatizo na vilevile jisafishe nyumba kutoka mbele maana uke ni kitu sensitive sana sana sana , zingatia usafi na fatisha kula kwa afya na kula vitu sahihi kufanya hali yako ya tatizo hili kuisha Pia onana na daktari kuna antibiotics ambazo zinatibu tatizo hili kwa aharaka zaidi. hope hii ya leo itakusaidia sana kujua jinsi ya kulinda Afya yako na vitu asili Pia , kitunguu saumu ni kitu muhimu sana kuwa nacho kama tiba asilia ya vitu vingi, vitamin c nyingi Pia muhimu.

Maoni

Machapisho Maarufu