ADRESSING FEW ISSUES ....

Hellow guys , mambo vipi i have been too busy with work sababu ndio naanza nakimbizana sana , nina chuo, biashara, Hosting so nahisi mnaelewa hapo, oky kuna vitu would like to adress for my blog and hopefuly my fans mtaelewa why nilijibu na kuendelea na mishe zingine i got no time t waste yan nna vitu vingi sana vya kujenga taifa , ila this blog post itanisaidia sana kutoa ya moyoni tho sina mengi , jamani kuna kundi la watu wanaamua niongelea kind of defaming sababu wanatumwa na wengine wana machungu that i moved on with life , both in denial, all these vitu kwa sababu ya vita vyao vya kibiashara, yan im being attacked for business reasons, you can see since nime join wasafi yan and by the way nina show Namba 1 usiku mpaka dakika hii isa win, i always score before i throw the ball, isa gemini Power, i have a luck always and God always at my side ..... now mshajua , kuna watu tayar my lawyer ana deal nao kimyakimya cyber waliopo apa bongo tutaelewana siku ya mwisho maana sirudi nyuma. stak ata kelele ila hao wa mbali waendelee i don care, issue ya uber sijawahi Panda uber bila kulipa natumia account ya my sista ina credit card ndefu tu or bolt or anything in my life ziko connected na credit card na huwa situmii jina langu, .... i always drive around with my driver so pia wanachanganya majina na mtu halisi kama issue ya arusha sijaenda arusha for almost 7 years nahisi last time nimeenda my baby sister alikuwa ana graduate at breyban , asa hio ya mwaka jana full of bullshit mamamae yan uongo mtupu.... so naambiwa nimeenda kwa event kwan mi msanii ?? would never so nawaambia insta watu wamevurugwa sana na wamejaa chuki na wivu sana all because i decided to support my bawse, new bawse D Platnumz ....issue ya madeni sijawahi kopa nguo sehemu yoyote ,i always shop at amazon zara or ebay , issue ya P2 yan nacheka how comes and i was pregnant jaman my man knows, issue za sijui ninatembea na nani all lies mshajua again vita ya kibiashara wakihisi wataniharibia, sorry maaa , mshajua kuacha kazi imegeuka vita bongo , oky ... issue zote apparently was biiiiig lies , sitaandika sana inshort nimejua kumbe vita za kibiashara ni kubwa hivi? so im well Prepared by the way niwafahamishe issue ya TRA sijui mwanaume yes my man is working at TRA ..... so what? issue ya Clouds niliacha kazi in 24hrs na niliwahi Post hadi barua ya resignation guys , sijawahi ata waongelea negative ila wenyewe mnaona watu wao baadhi akways dealing with me with bulyinng and all that and i swear to God siwez rudi kabisa na nawatakia kila la kheir na nasema asanteni kwa kuniajiri for 11 years , Kazi njema and nawapemda always .... sababu i always look on a good side mara nyingi , afu Pia growth lol , the other story uongo sijawahi andaa event on mwezi mtukufu sababu yan huo mwezi i was very much pregnant nilikuwa naumwaa na nimevurugwa yan sikuwa na afya ya kuanza kimbizana na mashughuli, sijawahi enda Police sababu ya deni so deni na police wap na wap mbona uongo mwengine watu wanaunga sana ...ndio mana stak tena wapa matangazo cheap watalipa saa hii hela sina tena huruma .....nimemkatalia mtu kumtangaziaaaa nikamrudishia na hela basi kichaa ndio akafanya vile na tayar my lawyer anashughulikia hizo vitu , we have all evidence and my legal team is on point..... even my birthday nimefanyia kwangu a small dinner Party after that nililallaaaaaaaaaa whole day.......in america people address hizi issue kwa website zao and jus did the same .....oi, ntakuwa natumia tips za mahusiano naziandaa, sorry sikuwa abit available guys was soooo caught up na mambo mengi and miss you guys. not perfect but naaaa not swinging on that level , kujichubua nako hahahaha nakula sana vidole na nina piko as well if you take a closer look ndio ilikuwa inaishiaaa yan .........mi nna mwili wa rangi ambao sio mweupe so filter tu na lights but nna rangi amazing and you can see..... ...so now you know. by the way nimeshare a clip video ikionyeshwa utambulisho wangu on my new family wasafi media with a new show called lavidavi. Im forever thankful kwakweli i have amazing team, namshukuru sana Diamond kwa kuniweka katika safu ya content na sitamuangusha kabisa ima make him proud,

Maoni

Machapisho Maarufu