DULLVAN INTERVIEW, SEX AND RELATIONSHIP TIPS , INCASE YOU MISSED IT, IT WAS EPIC

Guys this was one of the best actually the story is so real jinsi nimewakutanisha sema dullvan is funny af. okay the story is , this woman claiming she is Pregnant , but the way dullvan alivyokuwa hamjui and alivyokuwa anampangua the way alivyokuwa anamuangalia made me laugh so hard ... by the way nimeamua kuweka my outfit collection ambazo ntakuwa na share weekly on outfits, but pia i did share tips and tricks on how to build a better relationship,
after this outfit collection now you know guys jinsi ambavyo white goes with classic blue, apparently this is my summer outfit lol, straight from zara
nimekuwekeeni Jinsi Ya Kubana uke na kuupa joto, NJIA ZA KUONGEZA JOTO UKENI 1) MAZOEZI YA KEGEL (kubana na kuachia uke) namaanisha bana banduka......sina haja ya kuielezea maana tulisha soma.....basi shosti hii ukitumia kitu kinajipa chenyewe 2) ASALI NA MDALASINI tumia hii mala kwa mala kwa matokea mazuri, pia nlishaielezea somo lililopita 3) TANGAWIZI..... heheheiyaaaaaaaaa mwali wangu upoooo???? Yani hii ukiamka asubuh anza kunywa changanya na sukari kidogo ukipata asali itapendeza zaidi.....basi kama unakutana kimwili na mume jion wewe shinda unaitumia hii...ukiona nusu saa karibia aje wewe kunywa inasaidia mwili kupata joto na uke kuwa wa moto.... 4) PILIPILI. heheheiyaaaaaaaaaaa yani jaman pilipili inafanya uke uwe na karadha flani hivi amazing uko ukeni yani kamuwasho sio kamuwasho yani sijui nsemeje jaman mnielewe👌👌👌👌👌.....pendelea kula pilipili kwenye chakula chako yaani kwenye kila mlo basi weka kapilipili kidogo yani kale kamuwasho ka juu kanahamia ukeni yani baby atakua anakuuliza mama umeweka nini humu jaman🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪 mbona sielewi basi wewe jibu hata mimi sielewi baby....... 5) MITINDI hii inasaidia kuua bakteria wabaya kwenye uke na kusafisha uke jitahidi kwa wiki unakunywa mtindi angalau mala 3 kwa afya ya uke wako 6) USAFI. uke mchafu unashambuliwa na wadudu wabaya hatimae zinapanuka na kukosa radha. my outfit collection full

Maoni

Machapisho Maarufu