NAONGEZA MKE WA TATU , ALLY KIBA , DIAMOND NOMA, ISSA AZAM

 
Usiku huu nimepata nafasi ya kuongea ana kwa ana na issa azam na mkewe mtarajiwa wa tatu ndani ya lavidavi A2Z ambayo pia tulikuwa live wasafi media na wasafitv, haiya guys ...hii apa exclusive na jinsi nilimfanyia saplaiz
nampenda ana adabu ana aibu, ananiheshimu....wake zangu lazima wakubali tu

Maoni

Machapisho Maarufu