STRENGTHS AND RESPECT
Oh God , i miss blogging , imebid ninunue kameza kadogo sana nieke in my bedroom maana i feel so lazy kutumia home office lately maana imejaa vitu vya shopatdiva yann , as a media Personality i have alot to share Yes , inaezekana nashare sana kwenye my radio show at wasafi but my journey pia is blogging , Part of My Job kwakweli , ata mara moja kwa week , tuanze na nn , September imeisha Yarrab ndio Mwezi my biological mom alizaliwa na kuondoka duniani as well, nimemuombea sana sana sana , May God RIP My Mom , i always Pray for her til we meet.
kichwa cha habari ni nguvu na heshima ....Gosh , kabla sijaandika , let me share my SEPTEMBER FAVORITES ...Ukiingia ktk LAVIDAVI PLAYLIST hio ni faves zangu sababu i always create a Playlist , but I ask watu nao wanavyopenda and anything for the good music right, damn right, but toka jana i replay LAYTON GREENE MYSELF. So caught up with this song jamani naupendaaa .....eheee, ok zingine ni break my broken heart winona oak, chosen tyga x tydolla, belong to you sabrina claudio , naanzaje diamond Platnumz bawsey, come through chris brown and her, under the influencer chris brown, crazy over you sonta, ass ,ike that victoria monet, my mine Jhene aiko damn ziko nyingiiiiiiii....naskiza nikiwa nafanya laundry , write or drive .....yan naskiza saana muziki kiukweli,
Ok guys my next EPISODE YA PODCAST INAHUSU KICHWA CHA HABARI CHETU , STRENGTH AND WEAKNESS , RESPECT,
Ukiskiza my podcast kuna EPISODE YA BOUNDARIES , LOVE LEARN AND GROW AND ABIT OF HAVING FUN
sending a link
www.anchor.fm/divathebawse
yan nachukua muda sana kuandika hii kwa maandishi , kwenye mahusiano kuna vitu vya kujifunza kila siku, kuheshimu mahusiano yako, Mahusiano yenye uaminifu ni muhimu sana, kuna njia ya kuwasiliana mara nyingi, how you communicate ni kitu muhimu sana , kuwa na majukumu pia ya kuhakikisha kwamba unakuwa unapatikana na kuwa na muda na mwenza wako, kujuana nani anataka nn muda gani na kumpa heshima ya kuwa na muda wa kufanya mambo yake pia anayoyataka akiwa peke ake ni kitu ambacho kinahitajika sana ....ngoja na share link ya PODCAST HII


Maoni
Chapisha Maoni