DIET AND EATING HEALTHY

Hi Guys welcome to my weekend getway and weekend hii nimewaandalia article mpya kwa wale ambao wanahangaika na kutaka kukonda hadi kilo 60 Kama mimi, Ni safari ndefu sana kwakweli lakini hamna budi nimemiss my old body isitoshe daktari wangu kaniambia nipungue kwanza kuna Jambo la kitiba nafanya hivyo basi hali ni ngumu sana but i wil be here to motivate na mnaona matokeo tayari, ni ngumu sana ktk maisha kurud kama zamani lakin ni rahisi Pia kama utaongeza Juhudi na displine ya kula na mazoez ya kukimbia au kutembea ata nusu saa, mimi Diva kama Diva ni mvivu sana wakula sana sana sana lakini nikiona mtu anakula nakula , happens kuwa na marafiki Pia wapenda kula hivyo basi inanilazimu kula nao na mwezi uliopita nilikuwa na safari za kula sana usiku no detox and mbaya zaidi nikawa nakula chipsi wala biriani na Pizza , nimekuja shtuka nina kilo 79 niliumia sana nikauliza imekuwaje nimegonga hizi kilo, najua watu wali enjoy wowowo na mapaja ila mimi nikaanza ona kero sana nikaanza kukaa siku 3 bila kula, nina app inaitwa zero app ukiifatisha yan unakata uzito , hivyo nika download na kujaza vitu stak kula nikasema stak kula kabisa wali, Pilau , Biriani , Pizza, sukari na chochote chenye mafuta, hivyo basi nilipost kwa Page Yangu Jinsi tunaweza ungana kupunguza mwili na i request zero app sababu ina masaa ya kufunga kwa ajili Ya Kupungua, mimi nafanya 16 hrs on a daily and yes nimeona ata mashavu yamerud kama kawaida ila sasa napambana zaid igonge 60 kabisa, deep down nimechukia sana chakula, sijala mwez nakula ugali kimo cha mkono na mboga majani mengi na samaki aliechemshwa hakuna mafuta at all na sometimes nakula mchemsho only, MJ is my best friend Yuko now saudi arabia yeye ana KG 59, so kanishauri na kunipangia msosi na jinsi ya kuishi nao .. na im falling for it .. hivyo guys i would like to advice you kuacha kula asubuh na mchana na saa 12 na nusu Jion kula samaki aliechemshwa au ugal kidogo na maziwa kwa wingi kwa ajili ya kukata vidonda vya tumbo!. no sugar no oil Pls for 3 months and after that we will maintain, tembelea zaidi Podcast zangu ntatoa darasa sababu najua kupungua haraka kunahitaji nini huwa nafanya ila Pia Maji Ya Limao Pekee muhimu yananyonya mafuta mwilini , kunywa asubuh na Jion kabla Ya kulala, either chemsha au weka tu limao na maji yakae lisaa kunywa very good for health, mazoez nifanyajo mimi ni kuruka kamba na kupanda ngazi sababu mazoez ni asilimia 20 tu asilimia 80 ni kile chakula, guys try to eat healthy!. here sharing some few Pinterest to keep you on holidays!.

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu