JINSI YA KUPUNGUA MWILI WAKO KWA AFYA
Hi guys imenibidi niandike maana Im a lifestyle blogger , kuna watu wengi wanani dm wanaona kama mwili wangu mzuri akati my target is 55kgs ,
as we age sisi 30 na kuendelea tunapambana sana kupungua inakuwa kazi sana sielewi ila mi ukiniona unaniona mdogo sababu mfupi means nikiwa na mwili kama wangu wa zaman itakuwa vizuri zaidi , so nta share experience yangu sababu sitaki tumia dawa za kukonda zipo nazijua nshatumia nikakonda mwezi tu ila nilipata vidonda na kutapika damu sihitaji tena,
i will start with ninapoamka asubuhi nafanya nini , naamka mapema kabisa saa 2 asubuhi sababu sifungi madirisha kuna Joutor balaa , means nahitaji sana upepo wa nje maana naishi karibu na bahari, ule upepo unanipata fresh sana , nikiamka nachukua kahawa kijiko kimoja au maji ya moto natia ndimu nusu nachanganya nakunywa , according to my friend MJ anasema ile inakata mafuta na kurahisisha kusaga chakula tumboni , baada ya hapo nna maji hayo yanaandaliwa kila siku na dada yana majani ya tango vipande, tangawizi na ndimu au limao linakatwa vipande nakunywa daily detox hio inatoa sumu mwilini ila ni dawa pia ya kupunguza unene , nakula ugali mkono mmoja tu matonge 3 basi na mboga na samaki nusu , ndio nakula hivyo daily, and i have a habit ya kufunga masaa 12 na nusu kwa siku mpaka 16 kwa week mara 3 means im doin intermittent fasting ndio maana hata mnaona mwili umekwama unarud taratibu , nilisema mpaka mwezi huu unaisha nataka kilo 5 zipungue alhamdulilah almost there nikifika tu 65 natulia nikifika 60 naanza balance diet sasa ,
ila angalia hii video pia itakusaidia mazoez ya nyumbani ya hapa na pale wale wenzangu mziopenda watu wengi around, lets try this
Hii video itakupa tips and tricks nzuri zaidi.




Maoni
Chapisha Maoni