Day In My Life

Hi guys, mamboz karibuni on a new blog post ...nahisi hii weekend sijapumzika kabisa shooting studying on last days my finals next week and among all working, I AM VERY TIRED ..weekend went out kwa event ya rafiki angu zenu na mumewe at posta and it was fun kwakweli, lots of arab music and my hijab was amazingggggggg , leo nimetoka hosp for treatment nimerudi nimeshika laptop pen pencil and etc sababu yan namaliza chuo next week aisee niko very exosted. but guess it is what it is ...having some major headache mpaka nimeenda hospital ila ndio hivyo nahisi natumia sana akili kichwa kinauma sana , leo on this blog nimeamua kushare na nyinyi hii afrochilli kati ya vitu natumia katika msosi. ingia youtube watch and pls nipe comment baada ya kuitumia, nzuri sana yarabb.

Maoni

Machapisho Maarufu