HII ITAENDELEA KUTUSAIDIA KWA WALE WENYE MUHAHO WA TUMBO

I Dont really get into these sensitive topics but i never used to be able togain weight so quick and since i met my husband last year be like ...climbing ,not a bad thing tho but i have never experienced it this much and now he is helping me to control it , stopped eating and trying to control it , no food , just sea ish and alot of exercise. wengi wanatak tuendelee kutiana moyo mi siko kwenye danger ila nacheza na 70 inashuka 69 inapanda 70 ila hapo enyewe nimepambana sana sana sana. so lets see how we control food week hii inayokuja, these are tips. Generally to lose 1 to 2 pounds a week, you need to burn 500 to 1,000 calories more than you consume each day, through a lower calorie diet and regular physical activity. Depending on your weight, 5% of your current weight may be a realistic goal, at least for an initial goal. Njia moja ya haraka ya kupunguza uzito haraka ndani ya muda mfupi. Unaweza ukapunguza kilo 7 hadi 10 ndani ya mwezi kama ukifanya zoezi hili. Acha kula vyakula vya mafuta, wanga uliokobolewa pamoja na matumizi ya sukari kupita kiasi. Nini unapaswa kula :-Kiazi kitamu :-Green Tea :-Apple :-Maji ya uvuguvugu :-Mboga za majani Namna ya kuandaa au kula vyakula hivi: Asubuhi: Kunywa maji ya moto utakapoamka mimi nimeletewa hadi dawa ninazo lakini naogopa naona bora nifanye kwa njia ya kawaida kuna kipindi nilikuwa nazitumia hizi supplimets ntashare jina lake zinauzwa laki moja ni nzuri sana unaweza zitafuta zitakusaidia pia kwa suala la kupunguza msosi na kuumengenya. for now look at my tummy nafanya diet kila siku na mazoezi situps kukimbia na kuruka kamba na nina dietician mturuki ananipa somo sana na kunisaidia hivyo najua ni kazi ngumu ila lets Pambana and stay in shape ubonge nimbaya sana i tell you, do this for you. self love is everything.
Kula apple dk 15 kabla ya kupata chai Kunywa chai itokanayo na green tea Vitafunwa viwe viazi vitamu Usinywe maji mara baada ya kunywa chai. Pata maji ya uvuguvu dk 30 baada ya kupata chai, kama leo hii jumapili na hii mvua sijala anything zaidi ya maji ya moto. najua ni vigumu ila my plan is nimalize mwaka na kilo 68 and i will reach there hii week ntajibana balaa. Mchana: Pata maji ya uvuguvugu dk 30 kabla ya kupata mlo wa mchana Pata apple dk 15 baada ya kunywa maji ya uvuguvugu Kunywa chai (green tea) na kiazi kitamu. Unaweza kula pamoja na mboga za majani kwa wingi Maji ya uvuguvugu yanywe baada ya dk 30 tangu ule chakula cha mchana Jioni: Mlo wa jioni upate kama ulivyopata mlo wa mchana. ikiwezekana pata mlo wa jioni kabla ya saa 2. Yaani ifikapo saa 2 jioni uwe umeshapat

Maoni

Machapisho Maarufu