SEASONAL INFUENZA , CORONA IS REAL
HELLOW
karibuni to new blog Post about seasonal infuenza , mimi ni moja ya waathirika , sijui ni corona or whatever this is , no jokes inaumiza sana , i made it through covid 2020 , niliumwa sana for 14days ndio ikaachia and having the same symptoms but this covid did nat lose my taste or smell but my voice is so blurr , the cough is killing me scared of my lungs and my head , headache, kichwa, sijalala kuanzia monday nimebanwa sauti haitoki imekauka nakohoa sana na nina mafua makali meupe kabisa ya maji, leo chafya toka asubuhi kifua kimeachia kukohoa ingawa kimekuja kile kifua kizito so nimepewa anti biotics and other meds.
i have been in this situation before, this week sijaenda kabisa ofisini sababu kazi yangu ni sauti na sauti sina atleast inarud ila kichwa kinauma sana sana , hii mara ya Pili ingawa ya saa hii ladha ya chakula ipo kidogo compared na ile ya mwanzo ila sikio linauma sana , kooni utasema kuna wadudu wanatambaa , leo nimeamka miwasho imepungua, ila sasa nahisi homa iko ktk tumbo nimelala chini kwenye sakafu week nzima, i was supposed to have my finals this week but wil do it when im fully recovered ili nisije ambukiza wengine.
i had to ask my doctor why this happening , akaniambia kujanja covid kinga is the only option, so for now niko natumia dawa and rest up na kunywa maji ya moto yalio na tangawizi na asali na limao na kitunguu swaumu, hii imenisaidia sana Plus kujifukiza Pia kunasaidia sana .
SYMPTOMS ZAKE NI HIZO ZA COVID
So unakuwa hujui unaumwa covid au hio seasonal influenza but mi nilipata Covid before ni samesame symptoms.
so would like to advice you guys to take Preautions , kunawa mikono wear mask and sanitize and to keep social distance ambayo ni ngumu sababu mimi huu ugonjwa kaniletea dada wa kazi nyumbani,
Wa mwanzo pia kaka wa kazi, na tunaenda ofisini tunakutana na watu ni ngumu sana hii hali kuizuia unless tuingie lockdown lasivyo kama inajirudia naogopa sana , nimelala chini nimeboreka nimechukua my laptop na kuanza fanya hii Post maana sasa hamna jinsi sababu i cant go out nimeshauriwa kukaa ndani mpaka nitapooana mafua hayapo na kukohoa na maumivu ya mwili na uchovu vimeondoka,
watu wote tuliokuwa wote ijumaa last week tunaumwa,
kuna mtu kaniambia unamwa mafua unalia huko ni kudeka, nimemuangalia nimeshindwa mjibu nimemuombea vimpate auone how painful this is , glad joto limeondoka na ie barid imebak mafua na kukohoa na kutapika kwa mra chache na sauti na masikio kulia ZZZZZZ.
To be honest my husband really helping na simu na hela za hapa na pale, he is one of a kind, cant thank him enough, he is my shoulder to cry on.
sijui ata nawezaje ishi bila yeye ana upendo sana na kujali sana , yanu ata akinikwaza nikiwaza upendo wake ukarimu na kujali moyo unarudi.
pls guys be careful outhea the world is in a Pandemic, that isnt what validates me anymore , i miss my fans on tv n radio ..... i miss having tips n tricks and i miss a2z.
hope to be back soon, love you guys sana,
thanks for the messages calls, emails and mostly comments,
May the Good Lord Guide You.
love
Diva Gissele Morales
Billion Dollar Voice


Maoni
Chapisha Maoni