SIRI YA BAKORA YA BABU WA TIK TOK, - "MADEMU WANANIPENDA

Kama hukupata wasaa wa kuangalia interview hii nimeamua kuanza Post kwa week mara 3 kwa Kipande Cha Interview za lavidavi hasa tuliongelea maisha hasa ya mitandai TANZANIA , babu wa tiktok ni maarufu kupitia maisha yake ya mtandao , muangalie apa sasa

Maoni

Machapisho Maarufu