Happy New Year 2022 ... Diamond Kafungua Mwaka Jamani
Jaman hii nyimbo mbona balaa, Boss wangu kafungua mwaka na mkwaju aliomshirikisha Rwanda Finest THEBEN3
Nyieeeeeee
ngoja kwanza niwape maelezo ya mwaka 2022 afu mwisho kuna ka Video amazing ka Audio na Lyrics yan meskiza toka asubuhi
meambiwa mzuriii na babe jaman basi ndio hivyo tumeanza mwakaaaa.
Hi guys welcome to 2022 , let me share this .The Older i get the more i realize i don want to be around DRAMA, Confict , stress, i just want a cozy home, good food, and to be sorrounded by happy people.
Im gon share my 2022 vision workbook.
Resolutions,
.......
i need kukua na kukubali siku zinaenda, bigger goals guys. focus and setting goals as usual, vision,
top priorities,
relationships,
career,
health,
Personal Growth,
spiritual,
Financial ,
big numbers on Lavidavi,
Personal growth.
work work work
Happy New Year 2022!.
stay Positive !. that's how God Bless You in everything!. Na Ndio Njia Niliochagua kuishi nayo zaidi in 2022.
Nachukua Nafasi Huu Kuwaombea
Amani Upendo Baraka zikajae Mioyoni Maishani Mwenu!.
Yalioshindikana Mwaka Jana Yawe na Kheir na Kufungua Milango Mwaka Huu!.
I wish you happy new year with "new life, new hope,new plans,new efforts, new success, new dreams, I pray to God to give you happy and successfuly 2022!!! May the almighty God bless you....
my fans...love u
My baby una Moyo wangu Mume wangu nakupenda sana asante kwa kunilea kunipenda na zaidi kunidekeza najua una majukumu mengine lakini hujawahi niacha nihangaike ata 2020 ulipigana nika relax sijawahi kuadhirika mjini unanistiri B wangu.
oooh Baby B i love you. see you soon.
wimbo huu baby asante


Maoni
Chapisha Maoni