Jinsi Ya Kupika Wali Rahisi

Njia Yangu Rahisi. Osha Mchele then eka Pembeni Chemsha maji Ya moto eka katika chupa yasipoke then eka sufuria jikoni ikiwa na maji ya moto vikombe viwili, ikichemka ukiona mgumu ongeza kidogo dogo maji na acha mvuke zaid sababu wali wa mvuke mtamu jamani aiih wakati maji yanachemka hakikisha yanachemka na chumvi kiasi so eka kijiko kimoja ili isiwe ndogo wala isizidi. usikoroge ovyo isije ikawa ubwabwa bureee then utaongeza mafuta ukikauka then yasiwe mengi kidogo tu kama hutaki mafuta tumia nazi za dukani pakti 1 ichemke na ule mvuke then toa eka katika Nailoni uzingushe afu urushe katika sufuria funikia kukiwa na moto mdogo sama wenye mvuke wenye jiko la mkaa funikia juu upate utandu (kwa sauti ya marehemu bibi yangu) Hakikisha hauna ugumu na haujabondeka. eka katika Poti ukiiva funika kula ukiwa na joto dogo sana ... prawns sasa hao waoshe , tia ndimu spices and salt , then eka jikoni hot frying pan eka mafuta yakiwa ya moto weka until golden. Before turning over to the other side to achieve the same result. This should take no longer than 1 to 2. Minutes you. yan ni kama dakika 1 au 2 tu tumia magic jikoni and curry powder kufinya iwe na taste moja amazing then chumvi kwa mbali na tomato moja ongezea ya kopo kupata kale ka roast kekundu!. then after kuiva epua then eka Vijan kidogo kaa nusu saa kula!. Shopping (Food Lovers ) Osterbay wana best spices with best thyme for cooking go shop there and you gon thank me later!. cooking is easy because we have youtube n food channel and Tanga uko kuna aunties wanatufunza na uzee wetu huu and imagine lately im good in this trust me naeza kufanya ulambe vidole aaah  Kindly share yo recipe as well pls!. thanks and nites ♥

Maoni

Machapisho Maarufu