Morning Rituals 'Tabia Za Kila Siku Asubuhi'

Morning, Blogging ni Moja Kati Ya Kazi Yangu as Lifestyle blogger Pia Journalist, na 2022 nta dedicate kuandika vitu humu zaid ya insta sababu huku kuna 'Monitazation' leo nataka kushare na wewe kitu kinaitwa "MorningRituals" Hii itakusaidia kuitia nguvu siku yako unapoamka asubuhi na kuipanga ukiwa hai!. 1. Gratitude 2. Writting down Your Most Important task kuandika vitu muhimu utavyofanya siku nzima ni muhimu sana , Kuandika Malengo ambayo unayo kimaandishi na kueka kumbukumbu kwa ajili ya kuyatimiza ' Affirm Your Goals in writting' Mazoezi (exercise) home or gym ni muhimu sana si tu kwa ajili ya Kupungua but kwa ajili Pia ya kuwa fiti hasa magonjwa haya ya kila siku having a fit lifestyle is a must!. Drink hot water with lemon Hii ni kwa ajili ya kusafisha mwili wako kila siku asubuhi badala ya chai enye sukari jaribu maji ya moto na kipande cha ndimu ukiwa umeeka ndani yake umekatakata kama kitunguu inasaidia sana pia kulainisha chakula. Rise Earlier - Must admit mi sio mtu wa kuamka asubuhi ila siku hizi naamka saa 2 kila siku nimeeka alarm kabisa kwa ajili ya ku warm up mwili na kuomba Mungu Pia!. kulala sana wanasema huleta umasikini!. atleast amka fanya shughul za hapa na Pale lala mchana. inaitwa a nap. Listern to Uplifting Music, i have spotify and i always listen to music on a daily .. but uplifting music is everything!. these are morning rituals like to share with my fans!. thanks. PS= MY PLAYLIST THIS MORNING Be kind by Marshmello ft halsey Midnight by Allesso ft Liam Payne Watermelon sugar harry styles Blueberry eyes by Max ft Sugar Anne Marie Problems I Love You Hailee Steinfeld Holy Justin Bieber ft Chance The Rapper Share That Love By Lukas Graham feat G Eazy Floating Through Spaces Sia Be like that Kane Brown ft Swa Lee , khalid jus 10 for the day. share yours pls

Maoni

Machapisho Maarufu