MAISHA YA NDOA

Hi guys , thank you for being wavumilivu na kutokuwa hewani, miss you all so much , i was busy moving from here and there but now im fully back. i will make sure naandika na kupost ata mara tatu kwa week, As you all know sasa mimi ni Mke wa Mtu , Nilifunga ndoa tarehe 14.2.2022 na nikafanya sherehe at hyatt tarehe 25.3.2022 na sasa ni mwez wa tano nikiwa nalala na kuamka on a daily na Mume Wangu.

Let me share with you Maisha ya ndoa , guys ndoa yangu ni changa na ilianza na misukosuko sana , nafikiri mliona , attacks ajali and Mitihani ya Manani now we all happy yote yamepita hakuna jipya ambalo lipo sasa, na hakuna litalotokea na kushangaza but YOU NEVER KNOW.

Wakati naanza Maisha na Mume wangu nilimpa conditions za kutohitaji wake wenza kabisa glad he did chose maana nilimwambia achague, wengi wanahisi ndoa ni kifungo somehow i agree maana ata kwenda shopping unasubiriwa dukani ofisini unapelekwa na kusubiriwa, so kuna vitu I Miss hasa rolling around with my friends tho mara moja moja we roll with my goonz mayne. 
Ndoa ni kiapo cha kuwa na mtu milele na kujifunza kuishi nae, na pia ni kukua kiroho kiakili kiimani, kama nilivyosema hapo juu sasa hivi hata marafiki zangu nakutana nao kwa muda meaning ya kwamba kwasasa nimekua somehow hapa nitafafanua, way back ilikuwa very easy kukwazana na rafiki na kufix ili urafiki uendelee au uishe , lakini sasa nimeona kuna watu katika maisha inabidi kuwaacha waende baada ya kuolewa sababu sio tena hali ya kukaa nao katika maisha bali ni kuchagua jinsi ambayo unaweza ishi bila wao sababu ndani ya Maisha ya ndoa ni kuwa watu hao huwahitaji tena, letting them go is the best thing ever sababu you have a new life to live. 


Speaking of letting go , na kuacha ujana wangu na na maisha yangu ni maamuzi makubwa sana ambayo kila mwanamke ataipitia au atatamani kuipitia, kuingia kwenye ndoa kuacha kuwa single ,kuacha baadhi ya vitu zangu ni very big step ambayo nimefanya and glad I Made it.


Leo nawapa five Points: 

1.  Be a decision maker one single YES can change Yo Whole life. 

2.  Marrying at the young age is a huge risk , Make sure una spend time with yaself before spending it with someone else, ili utapoingia katika ndoa usipasuke kichwa, be yoself first before marrying someone.

3.  Dont be too Proud to ask for advice, yo biggest advice is yo heart , before making any decision listen to ya inner voice, speak to ya self.

4.  Trust , develop it , trust yaself , trust ya inner voice.

5.  Make wishes , talk to God ask him for anything, i asked God for a husband toka nakuwa i wanted Mume wangu awe alivyo sasa na kanipa exactly as i want , speak to God.
Mwisho mi sijihudumii anything Abdul is taking care of everything, kipato changu cha mwez kwake ni anakipata week sometimes , ananipa hela yes na hio haitoshi huwa ananinunulia ata nguo na vingine , yan yeye ni Mume kabisa kingine ni hivi Sio tegemezi, so tusiwe tunaingilia yasio tuhusu, na siku zote mkihitaji ushauri wa Maisha Ya Ndoa ombeni kwa wenye ndoa na wazazi sio watu wasio na ndoa na wenye makasiriko na ndoa za watu inshort nimeongezea Me Im jus happy, happy happy, mwanaume halali nje yarab anahudumia na nilishasema we 50:50 we realy on each other!.
sijawahi ona baya la abdul licha ya watu kumchafua ni binadamu kama wengine ana mapungufu yake nina mapungufu yangu na ndio tumeoana with our weakness n strength tunatengeneza maisha yetu na familia zetu. Abdul ana biashara 3 nje ya mnazozijua ziko waz mwaka huu na zinafanya kaz ni vile hatutak kero hatuzitangaz ila mkijua you wil be saplaized namuombea Mume wangu afanikiwe kila hitaji la moyo wake. 
so story za mitandaon 80% watu wako ktk biashara ya kuuza habari za uongo mumtue My wangu jaman mmezid khaaa na kweli kabisa niseme mimi kama mwandishi hawa watu wa Youtube na app wenzanu wanatengeneza story for views kwahio wamenigeuza biashara na mi najua mi ni biashara so wanaingiza hela kupitia Diva ndio maana kutwa kucha Diva hivi ndoa ya Diva hivi na vile ...
jaman ndoa tamu!. mengine mtuachie na my wangu 😇

 

Maoni

Machapisho Maarufu