DIVA GIVING FOR CHARITY
Hellow Guys welcome to My blog, ntakuwa busy sana hapa patanipa hela zaid kama Journalist and a blogger who run a radio n tv show called lavidavi , Im a socialist so y'all know writting is Part of My Job ,
Leo naomba Ku share How weekend Yangu Ilienda, Jana ilikuwa sikukuu Ya Eid , niliungana na watoto wa New Faraja Orphanage Mimi na Mume Wangu Abdulrazak kusaidia kidogo nilichonacho.
Tulikula na kunywa nao na kucheza nao na kuwapa zawadi.
Kwenye Imani Inasemwa 'You shall serve none but Allah and do good and establish prayer and give zakah. With The #orphans at Our Office in Magomeni ,
celebrating Eid .... lunch was yums ....🔥 and got some Gifts for You My babies
@divagivingforcharity @divagivingforcharity @divagivingforcharity
Eid w The Kids ..:
thanks for coming @divagivingforcharity today!. God is Good .. shouts to kila mtu ambae amenisapoti , washirika wenzangu wa biashara za kimtandao na ambazo si za mtandao, Mume Wangu Kipenzi Cha roho kwa kuwa na mimi jana bega kwa bega na Marafiki zake kwa kutuunga mkono jana ofisini kwako Magomeni Kisiwani Near Ekenywa Hosp.
Niwashukuru uongozi wa New Faraja Orphanage kwa Kunipa watoto ambao wanatabasamu all the time bila kujali wana wazazi au hawana nimejifunza tabasamu lina maana sana kwenye Maisha Nje ya Materialistic.
those kids simply amazing ... wanasoma dini hadi raha, God is Good!.






Maoni
Chapisha Maoni