HAJI MANARA AFUNGIWA MIAKA 2

Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili na kutozwa faini ya shilingi milioni 20. Kamati ya Nidhamu ya TFF imemtia hatiani kwa makosa ya kimaadili

Maoni

Machapisho Maarufu