Litapita Kama Yalivyopita Mengine - Nandy


 "Yameshatokea Sina Cha Kuongea wala Kujitetea Yatapita Kama Ilivyopita Mengine "

Ameelezea Nandy Kuhusiana na sakata La Mwijaku!.

Nina Love na Kila mtu amemalizia kueleza.

Msanii huyo kwa sasa Yuko katika Tour Yake Ya Nandy Festival na list ya wasanii kibao!. On stage Newly wed 

Nandy na Nenga holding it down!. she doin in while preg guys.

she needs hands up for that



Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu