Story Ya Maisha , Machungu Ya Ndoa Nilitoka - Davina

Machungu Ya Ndoa Yalimuondoa star davina kwa Mume wake aliezaa nae watoto wawili, "alikuwa akinipiga, alikuwa Mshirikina na alikuwa Malaya" sikuwa na mahusiano nae alisema nakupenda nataka nikuoe tukaoana sikupata nafasi ya kumjua , baada ya ndoa alianza onyesha makucha yake ndipo nikaona kuitafuta amani ya Moyo niondoke nikaachana na ndoa hio .. ameelezea akiwa ndani ya lavidavi ndani ya wasafi fm na Diva, tumepiga story za Maisha yake Ya Pili baada Ya ndoa Hio Ya kwanza .. 


Ya Pili nilikuwa na Mume wa Mtu ameelezea akilia akamchukua mtoto wangu akiwa na miezi 2 alimuiba mpaka leo ana miaka 13 ... alinipeleka hadi segerea nilikaa siku4 niliumia sana kisa Mapenzi



Maoni

Machapisho Maarufu