MAHARI LAZIMA IONGEZEKE - FAHYMA

 


Fahyma anasema kwasasa uzuri wake umezidi kuwa wa viwango vya juu na kunoga kwahiyo hata mahari yake lazima iongezeke haiwezi kubaki kama mwanzo Binti huyu wa kıtana amejaaliwa kweli urembo na uzuri nimemuona live jaman modo angu mahari izidi tu.


Fahyma anadaiwa kuwa mrembo wa Afrika mashariki ambaye uzuri wake umevuka mipaka.

kupitia show Yangu Ya Lavidavi Mrembo Huyu aliwahi funguka kwamba anampenda sana Rayvanny sababu ni baba mtoto wake na hana tatizo nae lakini siku za hivi karibuni wawili hao wameonekana wakiwa wako very close huku wakiwa na tabasamu tele la mrudiano.

haya ni mazungumzo Yangu na yeye tuliowahi fanya ndani ya Lavidavi Wasafi Fm na TV

Wapenda Umbea mnanisisitiza Nipost Umbea ila Bonyezeni katika Bongofleva hizi zitapatikana sana huko na lifestyle

Maoni

Machapisho Maarufu