Masha Lovie - Nampenda sana Mo Town Sanya
Tumepiga story na Masha Mapenzi kupitia lavidavi na ameweka wazi nia Yake Ya dhati Kwa Kijana toka wasafi Media anaefahamika kwa Jina La Kitaa Mo Town Sanya!.
"NAMPENDA ameelezea Masha, " Nilimwambia hadi Mama Etu Mama Dangote lakini Mo alikataa na kusema anapenda wanawake wenye shepu, hivyo nitaenda uturuki kibadili shape amemalizia, inafika kipindi ata nikikaa na bwana angu tunaaangalia tv anakuwa busy kuangalia instagram za wanawake wenye shape, ila sio Tatizo ntaenda uturuki lazima ...
Kuangalia Mazungumzo Yetu Bonyeza hapa and as a Diva been very busy working from home, on some new content this week as watu wame request sana kuwe na sehemu ya Mapishi, sehemu ya Gossip zisizohumiza and more.
lakini pia tumepiga nae story juu ya urafiki wake na Gigy Money na hili ndilo alilojibu baada ya story za amberlulu kuzagaa



Maoni
Chapisha Maoni