Meja Kunta Kaunasa Kwa Tunda
sasa huba limehamia kwa baby Mama wa Whozu Tunda ,
Mnakumbukaga story ya Meja Kunta Kufa ambayo management yake waliitengeneza kipindi kile tukalia sanaaaaa
Yule dogo anaesumbua singeli now yuko madly n deeply in love na Tunda.
Last week nilim call Tunda aje lavidavi lakini alisema amelala akiamka tutaongea nilitaka confirm hii story baada ya informer wetu kutuka udambwi on this sema ndio Penzi kikohozi looking forward to them !.
young wild n free furahini mahaba



Maoni
Chapisha Maoni