MTAZAMO WA UNACHOKIFANYA KIMAPENZI EXPECTATIONS
Mahusiano ya Kimapenzi na shida zake.
1. Ndoa na Mahusiano
Tatizo kubwa linalosababisha mahusiano mengi kufa ni Matarajio , wengi huingia katika ndoa wakiwa na matarajio yasioshikika yasioonekana na yasio na uhakika na kupelekea msongo wa mawazo uletao stress nyingi na sasa kama tunavyoona VIFO Vinakuwa vingi kisa mapenzi , stop Expectations , acha matarajio katika Mapenzi matarajio kama utapendwa sana ,
2. Maumivu
3. Visa
4. visasi
5. Uvumilivu na Commitment
EXPECTATIONS
Punguza ukubwa wa Matarajio yako , too much expectations can lead to stress and depression, in life hasa mahusiano, ukiacha Matarajio Mengi kwenye kitu flan , itasaidia kuondoa Maumivu Ya Mapenzi.
WATCH THIS VIDEO UJIFUNZE MENGI YA MAHUSIANO



Maoni
Chapisha Maoni