Sijisikii vibaya Kufananishwa na Vanessa Mdee
Kelele za watu juu ya Mwanamuziki saraphina kumuiga Vanessa Mdee na Kupita Njia zake zimekuwa nyingi sana na sasa yeye Mwenyewe amesema hajisikii vibaya kufananishwa nae .. akiongea amesema isa compliment , Vanesa amekuwa ktk game muda mrefu Mimi kufananishwa nae si mbaya ata kupita njia zake si mbaya
kuhusu kondegang kasema hayuko huko ila Harmonize ameona mbali kutaka collabo nae.
Saraphina ana ngoma
mpya na Christian Bella kali ambayo nimeicheza lavidavi week nzima sababu mi ndio napanga Playlist za Dj wa show na hii ndio watu wameisifia zaid week hii na video yake hii apa ambayo Manager wake Dfighter amehusika kueka sawa mipango Ya Promotion za Msanii wake huyu anaefanya vizur sasa



Maoni
Chapisha Maoni