Sitaki Mazoea ....
let me clarify this .. nimepata malalamiko ya kukataa sana interivews ... to make everything clear sina manager napokea mwenyewe everything direct , naamua mwenyewe Pia , but have people wananifanyia kaz i Pay watu 10 Mpaka saa hii Kila Mwisho wa Mwezi. means Im loaded kiasi , na sitaki dharau na sipendi sababu tu mnauza hao views wenu Youtube wanaonijua vizur wananiogopa ata kunisogelea. sio Mpole ni mkali tena Im very straight, Sipendi Ujinga na Mimi si Mjinga ndio mana naonyesha sana action zaidi mkiunda story mnanikuta ndio kwanza happily ever after kuwanyoosha tu na uongo wenu na i tel you all endeleen unga Picha na title fake ili watu wa view vi Youtube vyenu!. nimefanya Youtube naijua ngumu so tafuten hela kwa njia mliochagua. sasa ni hivi na generalize kwa wenye tabia ya kuniongelea as if wananijua na ndio mana nakataa nawakatalia wale wajinga na wanajijua.
I am a Diva ✨ hilo liko waz .. Yes I Build My brand for years toka 28/8/ 2008 i knew exactly what i wanted in the Game!. Mi sio mtoto Im 34yrs and i stil hold this ish down like a Champion.
sasa unakaa kwenye Youtube Yako au show Yako Unaniongelea as if unanijua unanisimulia mambo Ya Uwongo ili upate views au unakaa katika show Yako unajiongelesha for views and comments My Dear ukinihitaji ktk Interview yako SIJI na Nakublock whatsapp.
nasoma whatsapp zote sababu mi ni mfanyabiashara and i connect with My audience direct ukiona una kivuli kwangu JUA ni nimekublock nikiwa na akili zangu timamu, i usualy don Play around na sitakagi Mazoea!.
ati naomba interview sijui nn tuongelee issue zako issue zangu hazikuhusu na nachagua wa kuongelea nae issue zangu. so usikae ukafikiri Im a desperate for interviews kwanza sizipendi na sitaki interviews na nikiamua kuongea sababu tu nataka kukupa interview exclusive ndio naongea mambo yangu na mtu ninaemtaka or Post instagram or blog or else stak stak!. so kuna mtu nimemblock sababu akikaa ktk show yake ananiongelea mavi afu anakuja anajifanya anaomba Interview kwangu Jaman Mnanijua Mnanisikia ?! Mi ni Diva kweli ooh!.
ukiondoa kila kitu katika Maisha .. I Remain a DIVA .. that wil never change!.
stay exclusive siting with @bongofive soon for interview na ninavyozichagua ikno exactly nataka fanya na nani nani sitaki fanya nae and to make a long story short i have money and i work so hard i deserve it, i can buy anything i want anytime that i want .. endeleen fake stories nimekaa Pale chini mkiniona nina shida hizo mnaongelea niiteni Mbwa!.



Maoni
Chapisha Maoni