TANZIA
Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Farida Sabu maarufu Bi. Sonia amefariki dunia.
Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA), Chiki Mchoma amethibitisha kifo hicho kilichotokea leo asubuhi Zanzibar, na kusema mwigizaji huyo alikuwa mgonjwa.
Divathebawse na Team Nzima Ya Divamedia tunatoa Pole katika ndugu Jamaa na Marafiki na Tasnia Nzima Ya Bongo Movie.
Mungu Wetu ametwaa, Jina Lake lihimidiwe apumzike kwa amani Amina.



Maoni
Chapisha Maoni