Uwoya Kaniibia Young Lunya Barbiemia

 

heiya .. what's good , been busy na Maisha Nyie Yan Niko busy na huu Mwezi sijui unaisha lini maana mgumu sana mambo mengi kaz na family nimechoka ukiniona niko na usingizi wa week nzima Jaman yan hoiiii!.

Hi guys , saa Hii Ni saa 11 asubuhi sijalala 
nimeona niwawekee kabisa interview Hii Yote full
Nimebahatika kufanya mahojiano na Moja kati Ya Vijana that i adore Nedy Music ambae safari yake ya Muziki nimeiona ikipanda na Mnyama Mmoja mkali sana Barbiemia
Maisha mahusiano na Muziki viko humu lakini Pia Wanaoomba ushauri wa mahusiano nimewapa ushauri love stories na everything kuhusiano na mahusiano nini na nini only on Wasafi FM and TV lavidavi show moja flan amazing inayoruka siku 5 za week Jumatatu hadi ijumaa na Diva Billion dollar baby

Maoni

Machapisho Maarufu