VIUNO VYA MIMI MARS KWA MARIOO
Usiku wa jana katika Moja ya Matamasha Ya Muziki Tanzania ,
Msanii Mariana Mdee alionekana akiyakata mauno yake mbele Ya Marioo na watu kuamua kuwavua nguo kwa macho na kushangilia viuno ivyo.
Moja kati Ya Wakilishi wa Diva Media kwa siri alielezea kuwa alipoulizwa tena swali Juu Ya Huba Lake na Marioo alikataa na kusema wanafanya kazi tu.
lakini Muandishi aliendelea Muuliza kwann amekuwa akionekana sana nyumbani kwa Marioo Mara kwa Mara na Kwenye gari lakini Yeye alicheka
😂😂😂
btw i love her she is pretty ila ... Marioo My son , Put a ring on it tumalize kaz tule ubwabwa



Maoni
Chapisha Maoni