WEEKEND VIBES HAPPY EID EVERYONE

Hi guys ...the weekend has landed and guess what having headache so nimekaa nakunywa maji na kulala nahisi nimechoka Pia nimekuwa nikifanya kazi back to back
Nahisi niko busy na online shop yangu na nina skincare and duvets for now. naomben jaman msinitie aibu makwenu kuwe na muonekano Please , kitanda kila baada ya siku 2 badili shuka na msimu huu wa baridi ni bora set yako ya Duvet ikawa karibu na miguu yako tandika kitanda kipendeze, i have few videos za kitanda kinavyotakiwa kutandikwa but i will Post them next time, leo niko so busy na mambo yangu ya watoto Yatima Kesho EID hivyo nina shughul na kituo cha new faraja Orphanage kesho mchana , ntalala kidogo tu niwahi kuamka for this ingawa mambo mengi ila Mungu atatia wepesi wake Inshallah.

Maoni

Machapisho Maarufu