My Anniversay 14 years In The Media Arena

 

Imagine leo ni 14 years ...actualy been amazing people been so kind so amazing so supportive inspiring some are very negative but professionaly thats what makes a media arena , and here we goooo!. 

this is a new blog Post, such a bright Sunday and jus chillin and enjoy my anniversary of being in the media for 14 years.

let me tel you a story kwa mara ya kwanza miaka 14 iliopita kupitia Jahazi nilipata kusikika ghafla na ilikuwa ni kama bahati maana sikuwahi Panga wala Kuwaza but was jus having fun and that's how life is to have fun, then ghafla Mungu akanipa Mwangaza and direct me into Media Arena Path, today tarehe 28/8/2022 nimetimiza miaka 14 kamili ya kuwa Media Personality na trust me always on top, Gods Plan is bigger than anyone!. Nilianza tarehe 28/8/2008 ktk show Ya Jahazi na Captain G habash who made me to this Point , he was my mentor on air. Nimepitia mikononi mwa watu wazito and best of the best katika kuhakikisha napikika hasaaa and then here we fo boom Best Female Media Personality Queen of the MIC. 

so from Jahazi to show za weekend nilifanya to show Ya Ala Za Roho na kuwa na Show kwenye kituo number 1 Tanzania cha burudani Wasafi Lavidavi Jaman Nimebarikiwa sana sana sana Alhamdulilah. 

Nimepambana sana kuitengeneza Brand yangu na za wengine wengi maarufu mnaowaona leo, kuwa brand sio jambo dogo jaman sababu once yo a brand unaheshimika sana lakini unakuwa sio mtu wa kawaida na usikubali kuwa kawaida sababu that's money to You.

natengeneza hela sana online and Physical sababu nafanya kazi na makampuni na wafanya biashara binafsi mbalimbali kuwatangazia kazi zao na ndio mana ninachopata huwa najitahidi kufanya charity kumshukuru Mungu na kusaidia watoto Yatima sababu Mi ni kama wao naelewa kuwa mpweke na kutokuwa na familia. waliokuwa my real family ambao hawakuwahi niacha kwenye hali yoyote ni Boss wangu Ruge Mutahaba bibi Yangu alienilea na wengine ambao sitawataja that Played a huge part, niwaombee kila siku na Mpumzike kwa amani. sababu ya upendo wenu kwangu namimi napenda sambaza upendo napenda kuwaelewa watu na tabia zao na napenda kustiri wenzangu marafiki zangu na mapungufu yao na dunia haijakamilika ata mimi ninamapungufu yangu sijakamilika God is the only one mwenye ruhusa ya kuhukumu hivyo basi namuomba sana Mungu nisiwe mtu wa hovyo na mwenye roho mbaya. siwez na sitaki kuwa kikwaza kwa wengine my dear Good lord Im trying to be better everyday. 

FAME -  damn Im famous na hapo sina matashtiti ya ma baunsa wala msafara wa magari na stil jaman nimetingisha na ninatingisha ni nyota ... jaman nna nyota sana na namshukuru Mungu hakuna wa kuishusha .. I am a woman with a big heart and i wil be like this till the day i die.

just to say i made it and kila siku mpya napenda kuwa Mpya kwa kazi yangu , Im a Love Doctor i treat people mentaly when they r 💯 broken, i lift them up with my voice n give them tips n tricks on how to survive even when yo broken at that time.

i always invite guest and narrow minds .. i have my Psychologist he is in Korea right now , gladly doctor esecko shape me to grow n glow , sometimes people needs to go thru pain to grow is Part of Process of Humanity!.

Nilipotoka Mpaka sasa Ni Nguvu za Mungu na Malaika wake wema kukaa Pembeni Yangu , i grew up bila mzazi wa kike , it was emotional toucher, i realy wanted a family stil want one , i need someone i can rely on , a bestfriend and a shoulder ,

vitu viwili i want to have a mom and become one But Gods Timing mi amor My latenight Prayers zitajibu siku kabisa na ntabeba mtoto wangu , God is The best in all Planners.

ayeee but I got my dad, we don't talk everyday but we talk about everything mara 3 kwa week, my dad got another mom and she is amazing teaching me how to be better all the time.

I grew up so much on my media Journey and i love Positivity more n good energy tho kwenye angle zangu za interview i love when people open up , People thinks i dont have Problems and Im too Perfect but aye Iam a Human and i have sometimes rough patch rough road and i back up and fix and i handle them Appropriately and alot of Prayers so when having on air conversations i would love to be in other peoples shoes n im perfect for it.

wengi sana sana wananiambia wanataka kuwa kama mimi kuwa watangazaji ushauri gani niwape but Pls Be You and enjoy The Passion for it.

sitaki ongea sana but jus to say thanks to My family ...my fans and speaking about family family to me ni wale walio na mimi kwa shida na raha !. ata kama ww ni shabiki as long as we been together in this bumpy ride ' thanks ' yo my familia. 

i have season 5 10 Episodes from My Podcast and they so into lifting up and how to live perfectly with imperfectly and i must admit i always do my research before recording a new episode.

so enjoy the rest of ya day today with my work of art

happy anniversary to me. 

14 years in the game ayeee God is Good. 

A friend kantumia Picha ya maua aliyoniandalia she said kesho I'll bring them into the show and can't wait i love fresh roses flowers ...

🌹

Maoni

Machapisho Maarufu