Connection Ya Uwoya.Majibu Yake

 

“Ile jambo inaweza kumtokea mtu yeyote haikuwa na maana ifike huko niliwekewa madawa ya kulevya Kwa nia zao Ovu na wanaona wamefanikiwa ila ni Kwa Muda mfupi tu, yeyote yule aliyehusika lazima sheria ichukue Mkondo wake, nitafuatilia Suala hili hadi Marekani pia” IRENE UWOYA

Maoni

Machapisho Maarufu