Diamond Ndio Msanii anaelipwa Zaidi Tanzania
Nyie #DiamondPlatnumz Apparently he is My Bawse 4 L mtu na roho yake ndio Msanii ambae ili umchukue aje fanya show yako andaa Private jet na vitu vingi zaidi!.
kupitia Africa Fact Zone imeeleza Kumchukua Mwanamuziki huyu uwe na $100,000 za Kimarekani
mnaojua kuziweka kwa Kitanzania haiya , Y'all need to respect my bawse mayne he is THE GOAT 🔥



Maoni
Chapisha Maoni