Duka La Paula Mil 500

 

20 years Pau ... amefungua Rasmi Leo Duka Lake Ambalo Ni Mil 500 total iliom cost kuhakikisha anatimiza ndoto zake kwenye Fashion, vitu hivyo vimetoka UK, turkey na kwengine ambako Pia amezungumza na Diva Media nakusema vitu zake ziko very affordable sababu yeye anajua fashion ukifika dukani kwake atakwambia nini ununue!.

kwenye Launch hio alifanyiwa saplaiz na Mama Yake Kajala aliekwenda kum support binti yake huyo akiwa ameongozana na Msanii wa Kizazi Kipya Harmonize ambae ni Mpenzi wa Mama Yake. 

with her Pinky Friday Paula Ameweza Pia onyesha Fashion Show Yake Ambayo ilikuwa Round 1,2,3 za mabinti warembo ambao ni Model zake, dukani kwa Paula Kuna mdoli mkubwa  alienunuliwa na Baby wake ila Pia kuna Butterfly wall Kwa ajil Ya Kupiga Picha!. The shop so classy ... round of applause for her 💕



Maoni

Machapisho Maarufu