Jinsi Ya Kupunguza Uzito


 Ishawahi kukutokea ukaongezeka Uzito ?!

na kuanza kujaribu kupunguza chakula lakini bado? wanawake wengi wanataka kupunguza uzito kwa njia nyingi sana lakini ni shida sana sababu inapungua zaid kwa kubadili mfumo wa chakula, wengine wananenepa kwa kula ovyo wakati wa stress na wengine sukari mama sukari kila kona inaongeza sana maana ni kwamba kuna soda ma cake kuku dada chipsi kuku Pilau Biriani wali harage yan shughuli kipengele,

Do you feel like you’ve tried “everything” and just can’t lose weight? Are you struggling to feel confident in your body, or do you feel like you’ll love yourself only when you lose those 10 pounds or get six-pack abs? On today’s Post tutazungumzikia suala la kula kula ..

kuna app inaitwa zero inasaidia #Interminnetfasting kufunga kwa masaa kwa muda wa miez 3 kupunguza mwili...

why loving yourself has to come before losing weight, and how to get out of the toxic cycle of diet culture once and for all ... apparently i don feel good about myself cause I Miss My old body so My therapist told me to work on it and how ?! cut off all the food routine and  focus on body Positivity ,

body shaming is kinda all out there but we need to accept and work on it , Too lazy for a gym session so ntaanza kutokula ovyo kuanzia jana nimeanza , 

chocolate no chakula cha mafuta no and vitu vya kupika sana na kukaanga no yan I'll just try to cut it off , self compassion ni muhimu sana , self acceptance kwa kuongezeka mwili na kupambana kufanya bora kwa miili yetu .



Maoni

Machapisho Maarufu