Kizz Daniel Azingua Watanzania Atiwa Mbaroni OSTERBAY

 

"Alisahau Begi La Nguo Kenya Hakupenda Nguo za Tanzania"

Jamani Kampuni inayohusika na uandaaji wa matamasha ya burudani @str8upvibes_ imewaomba radhi mashabiki na wadau wa burudani baada ya msanii maarufu kutoka Nigeria @kizzdaniel kushindwa kutumbuiza jukwaani Jana katika tamasha la ‘Summer Amplified.’


“Tunachukua hatua stahiki katika kushughulikia suala hili na kuwahakikishia wananchi na mashabiki waliolipa na kuhudhuria kuwa tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha vinashughulikiwa, tunaomba uvumilivu wenu tunaposhughulikia hili,”Afisa Mawasilino Str8up ameeleza kwenye taarifa yake.

📍More Info Link In My Bio for entertainment News @divamediaafrica   

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu