Mwijaku Na Nandy Kesi Mahakamani

 


mwijaku amemfungulia kesi msanii wa Kike Tanzania NANDY na Kumdai fidia na hela xa asumbufu Mahakama Ya Mwanzo sinza leo na hakimu amesikiliza kesi hio na kuhairisha, nje ya hapo amesema zile sauti nandy anamsema Zuchu yeye hajazitoa na hajui zimetoka wapi.

More info @divamediaafrica Link In My bio for blog updates APP yangu inakuja na ina story za town kibao mnazotaka!. the app is so clean na itapatikana android na ios kote!. free to download.

Nimekuekea show Ya Jana Lavidavi na Bongomovie star Khizzer  




Maoni

Machapisho Maarufu