Naira Wa Jua Kali Pole Mama

 

Sijakaa Kimya on this.

Niliongea na zai mwez huu mwanzon kabisa .. niliumia sana , nilipost issue yake na kuiongelea week nzima, nilisema nina video na Picha za mtu maarufu ambae anapitia mateso na vipigo akiwa na ujauzito wa miez 8 , her story is heartbreaking .. i did share  na nilitakiwa fanya nae interview azungumzie unyama huu na i was so ready kuhakikisha ochu anachukuliwa hatua za kisheria, lakini aliniomba akasema yasiende Public na anaomba ajifungue salama, ata alipojifungua na kupoteza mtoto lavidavi ilimpa Pole na kumtangaza na kumuomba asikae kimya on this , ukipitia hali hii ikiwa inajirudia sana ni haki ku raise up sauti yako , stil alikaa kimya mpaka alipoamua sasa kuongea, nashindwa vaa viatu vyake ni maumivu sana yanayohitaji kushikwa mikono na kusaidiwa ... i was the first to have interview with her kuhusu career yake!. she is like my baby sister!. 

nafikiri mliona siku napost. na nafikiri ni wakati wa  Ochu Kuchukuliwa hatua za kisheria ... ladies never entertain any kind of abuse and violance of any form!. @lamataleah Im sure utahakikisha haki inatendeka ili iwe funzo kwa wanaume wengine, nachukia sana wanaume wenye hasira za ovyo na kupiga wanawake kiasi hiki, emotionaly abuse then and Physical abuse them , ww mwanaume wa namna hii ni wakati sasa wa kuchukuliwa hatua stahiki kabla ya kuendeleza unyanyasaji wa namna hii kwa wanawake na ukawa unatembea free ukijiona umeshinda, kuna karma malipo ni hapahapa duniani na kuna sheria ili kukomesha tabia hii , huu ni unyama wa hali ya juu na nina hakika mamlaka husika zitaingilia @zaiylissa Pole sana baby , it's about time ... ladies usikae ktk ndoa au mahusiano ya hivi utakuja kufa unajiona in the name of LOVE, hamna LOVE ya hivi ... kabisa never settle for less, if you love someone .. you'll never see her suffer or cry or even hurt ... Mapenzi na ndoa yana challenge ila challenge ya kupiga nusu kuua hapana .. ikatae direct. @ochu_phones anatakiwa awe responsible for his own action and his own mistakes haraka sana kabla hajaja mfanyia mwanamke mwengine lazima alipie haya kisheria



Maoni

Machapisho Maarufu