Nicki Minaj On VMAS 2022
Hi guys who else ameangalia vmas ?! nyie Nicki nailed it ..
sema Team Swift msanii wenu alijiachia hadi raha ila sababu Nicki kawakaaa ntaandika kuhusu yeye damn i love her .. for ages OMG!.
nicki minaj akiwa stejininna Tuzo Ya msanii BadBunny ambae alishinda usiku huo na hakuwepo on stage sababu alikuwa na tamasha sehemu ingine, kivazi hiki kimeacha watu hoi sababu licha ya kupendeza lakini Pia alikuwa anaimba na kucheza ngoma zake on stage freely givin us the vibezzzz
baada ya Ku Perfom Ngoma zake kadhaa na kupokea Tuzo Yake Nicki alipiga Picha kwa mashabiki zake ambao Pia ndio waliomtambilisha on stage ' Barbz' akiwa amebeba Tuzo usiku wa Vmas na gauni tofauti lililompa muonekano wa ki classy and sassy bad Bih and boujee
Nicki Minaj ladies and gents!.
Kupitia Tuzo za Muziki Jana usiku Malkia wa Muziki wa HIP HOP Nicki Minaj ameweza Jinyakulia Tuzo na kufanya show ilioacha watu mdomo wazi kwa Kupiga Ngoma zake za zamani, na kuacha watu wakimshangilia na kupiga kelele ' we love You'
angalia tukio zima apa
https://pitchfork.com/news/mtv-vmas-2022-winners-see-the-full-list-here/amp/








Maoni
Chapisha Maoni