RUTO RAISI KENYA

Tume ya uchaguzi nchini #Kenya ilimtangaza Naibu Rais #williamruto  kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais, licha ya makamishna kadhaa kukataa matokeo hayo. Ruto alishinda karibu 50.49% dhidi ya 48.85% ya mpinzani wake #RailaOdinga #kenyaelections2022 #KenyanElection2022  #KenyaDecides 



Maoni

Machapisho Maarufu