SIMBA DAY WITH A LOT OF SURPRISES .

 




This is Simba ndiyo hii ni Simba Wakati Wakisheherekea kilele cha Siku ya Simba klabu hiyo imekuwa na zawadi mbalimbali hadi kufikia kilele cha Siku hiyo.


Simba hushehereka siku ya Simba kila siku ya Tarehe 8, ya Agosti kila mwaka Ambapo I naenda a sawa na sherehe za kitaifa za wakulima Yani Nane nane.


Kwenye kuleta burudani klabu ya simba licha ya kuwa na utamaduni wa kualika klabu kutoka nje ya nchi Kuja kucheza nayo siku hiyo maalumu katika siku hii ya simba kunakuwa na zawadi tofauti tofauti licha ya waimbaji wa Muziki kusherehesha pia klabu hiyo imekuwa ikitambulisha wachezaji wake wale maigizo mapya katika Timu na wale wachezaji watakaosalia kuendelea na msimu Husika.


Sherehe za Simba zimepambwa na Hafla mbalimbali ikiwemo Ile show ya Mwanamziki
ZUCHU kutoka katika Rekodi Lebo ya Muziki ya wasafi, wasanii wengine Walioweza kushiriki a katika Hafla hiyo ni Tundaman na wengine wengine.

ZUCHU akishuka kwa Kamba kutoka Juu ya uwanja wa Wa Taifa katika Hafla ya simba.


Klabu hakuishia hapo ni baada ya kutoa rasmi orodha ya wachezaji wake ambaowatakaoendelea nao pamoja na wale walioagwa rasmi uwanjani Meddie kagere pamoja na Thadeo Lwanga, huku Simba ikifanya Utambulisho wa wachezaji wake wapya .

Meddie kagere akipkea jezi Yake baada ya kuagwa Rasmi

Thadeo Lwanga akipkea jezi baada ya kuagwa


Ifuatayo  ni Orodha ya wachezaji waliotangazwa na kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi pamoja na Kuwakilisha kimataifa.


Kikosi cha simba pamoja na benchi la ufundi.



Makipa wa Simba SC 

1:Ferouz Ahmed

2:Ally Salim

3:Beno Kakolanya

4:Aishi Manula


Mabeki wa Simba SC 

5:Israel Patrick Mwenda
6:Shomari Kapombe
7:Gadiel Michael
8:Mohamed Hussein
9:Nassoro Kapama
10:Erasto Nyoni
11:Kennedy Juma
12:Joash Onyango
13:Mohamed Quattara
14:Henock Inonga

Viungo wa Simba SC

15:Mzamiru Yassin
16:Victor Akpan
17:Jonas Mkude
18:Sadio Kanoute
19:Peter Banda
20:Jimmyson Mwanuke
21:Clatous Chama
22:Pape Ousmane Sakho
23:Nelson Okwa

Washambuliaji wa Simba SC 

24:Augustine Okrah
25:Kibu Denis
26:Moses Phiri
27:John Bocco
28:Habibu Kyombo
29:Dejan Georgijević


Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu