UNO LA LINAH KWA ALIKIBA MH
Ila nyie Linah bwana kaumbika sana , anyone else ameona show Yao Nandy Festival? clip ile UNO la Lina Nyie!.wakubwa wanafaidi Jaman sema wait , hawa wawili wakipiga collabo think itakuwa kali sana they both got the sound
by the way Nilimuita Linah For Lavidavi aliingilia huku akatokea kule ' she is so booked i guess , let see when atakuwa free tumalizane nna maswali Matatu Makubwa kwake
and she is ma beib so itakuwa much fun You Know 😇



Maoni
Chapisha Maoni