Mazoezi Kwa Afya Nimeanza Steps Up

 

Leo Nimeona Nianze tena Mazoez nikiwa home na nimeanza na ku download app Ya Kutembea. inahesabu steps na calories burn , Ni nzuri sana , no gym time for me na hii app ilinisaidia Mwezi wa Kwanza nilipinguza Kilo 10 kwa Sababu kila siku ilibidi niteteme na kutembea na kuhesabu steps 5000 kwa siku na calories 500 na kweli ilinisaidia sana na nina kamba Ya Kuruka naruka Mara 500 kwa siku Nakunywa na maji ya moto glass yalio na tangawizi na ndimu for detox basiii y'all nipeni mwezi kabla december mtaona ka body goal wanna move from 75 to 69 again!.

join me pls for tips n tricks apa apa

Maoni

Machapisho Maarufu