Mwijaku Ni Mtu ambae anaeza sema or Fanya anything for attention


 Hi Guys Wapenda Umbea Hii si Ya Kuumiza isome


Jamani Hii issue Ya Ommy Dimpoz iko very open now na watu tumetoa sana madukuduku huko insta hasa kwa wababa wanaotelekeza watoto yan ni wa kukaa nao mbali kabisa.

inshort i know Mwijaku since day one Boss Ruge alinileteaga nifanye nae interview kipindi wana show Yao Ya Mahusiano.

huyo Jamaa anaweza fanya or sema anything for attention bila kujali utaumia au hutaumia what he did to Ommy was unfair ..

na iwe ni Funzo kwa wengine wapenda content za kiki!.

usifanye Jambo ambalo ww hupendi Pia Kufanyiwa.


 





Maoni

Machapisho Maarufu