Ndoa Yangu Ilivunjika Baada Ya Miez 6 Niliumia

 

Jana Kupitia Lavidavi tulikuwa na Mchambuzi Maarufu mwenye ushawishi mkubwa katika soka Tanzania Kijana Mwenye Umri wa Miaka 32 ambae ni Kipenzi cha mabinti AliKamwe ambae alifunguka mengi sana skiza hii 

lakini Pia Tulizungumzia issue yake na Manara ambayo kwa busara sana alimuomba Msamaha na baadae Manara alisema kwenye comment zangu na kupost kama Yameisha 

skiza hii 

hatukuishia hapo Pia Nilitaka kujua Mcheza Mpira bora kwa Mwaka Kwake ni Nani Kati Ya Mayele na Chama Na alimchagua Fiston Mayele. show nzima ile livestream iko na copyrights grounds sababu Pia Ilikuwa ni kupiga wimbo na tayar inashughulikiwa leo jion uta enjoy yote ya masaa 2


Maoni

Machapisho Maarufu